GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 161
zitaruhusiwa kubandikwa hapa JF live???yaah!
picha ni lazime nitakufowadia kwa wingi tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zitaruhusiwa kubandikwa hapa JF live???yaah!
picha ni lazime nitakufowadia kwa wingi tu!
X-
WATU WANGU MLIAMUA KUNIKAUKIA KWENYE HILI?......
....!i will never get married for the second time!...
DAMN COSTLY
hehehe!Pole sana mkuu,
I can feel your frustrations. Ila usiwe na wasi wasi sana. Hili ni tukio la kawada tu na linahitimishwa na sekunde kama 5 tu pale wewe na mtalajiwa mtakapotangaza hukumu zenu wenyewe!! Tutakuombea tu ili ufike huku tulipo, uonje "raha" ambayo utakuwa umeitolea jasho.
Hapo kwenye blue,... hebu tema mate chini!!
hehehe!
tafsiri yangu ni:
-KUIHESHIMU/KUILINDA NDOA YANGU KWA MUDA WOTE NITAKAOKUWA NA MKE WANGU
-sifikirii pia kuoa tena kwasababu mke niliyenae naamini ananifaa/ananitosha
-hata ikitokea tofauti na hayo mawili niliyotaja,NITATOROSHA TU!SITAOA
noted!...please naomba niiprint hii for my references