Ivi kwanini siku hizi wanawake ni so heartless...kweli kijana anajikaka mua anabeba zenge mjini anapata elfu 5 kwa siku walaah bi shosti huoni huruma unaichukua yote unamuacha tena juu ya mtaa[au kina kaka tumekuwa mazoba],pili dada zangu una beba mimba mienzi tisa kweli unazaa unatupa...so heartless.
Huyo anechukuliwa hiyo hela ya zege yote ni bubu? Mwenyewe hawezi sema ama amua ampe ngapi?
Ila hao wanaobeba mimba miezi 9 tabu zote apatazo alafu anatupa mtoto huyo anafaa kuitwa jina lolote baya....