You will never be accommodated in Zanzibar if Tanganyika is "dead" "

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Polisi haya mnayoyafanya, , ya kumsaidia samia kuiuza Tanganyika, kuiharibu Tanganyika, muungano huu ukivunjka na ikawa serikali tofauti na CCM, hamtakimbilia zanzibar...you will never be accomodated in Zanzibar.
Pigania Tanganyika yetu , yeye anajenga zanzibar kwa rasilimali za Tanganyika nanyi mnamsaidia kuibomoa Tanganyika!
 
1979 nilikuwa TRC Mwanza nikiratibu safari za mashujaa wetu wa Vita ya Kagera πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na kwanini umwite hivyo mtu usiyemjua?

Unajua kuna Watu hudhani kutumia ID fake ni kujificha aisee Wanajidanganya sana

Kwako Lucas πŸ˜‚


Tanzania hawana vita na matusi, wana shida tu mambo ya Saida!
 
1979 nilikuwa TRC Mwanza nikiratibu safari za mashujaa wetu wa Vita ya Kagera πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Labda Mwanza ya Tumboni mwa mama zetu, siyo ya Tanganyika , around Lake Victoria!
Mmh kwani Mzee Mgaya ana miaka mingapi bwashee?
Si yupo sawa na Mzee Warioba au the giant African Wasira?
😁😁
 
1979 nilikua karatu sec kama msaidizi wa headmaster
 
Na kwanini umwite hivyo mtu usiyemjua?

Unajua kuna Watu hudhani kutumia ID fake ni kujificha aisee Wanajidanganya sana

Kwako Lucas πŸ˜‚
Umeongea point kubwa sana! Anonymity siyo warrant ya kuvunja sheria/kutukana and the like! Anonymity ni fursa ya kutoa mawazo yako ya haki na kweli ambayo madikiteita hawataki kuyasikia kulinda ukandamizaji wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…