You will never be accommodated in Zanzibar if Tanganyika is "dead" "

You will never be accommodated in Zanzibar if Tanganyika is "dead" "

Umeongea point kubwa sana! Anonymity siyo warrant ya kuvunja sheria/kutukana and the like! Anonymity ni fursa ya kutoa mawazo yako ya haki na kweli ambayo madikiteita hawataki kuyasikia kulinda ukandamizaji wao!
Watu wanaotukana watu wengine ni wale waliokosa malezi mema kutoka kwa wazazi wao - mama na baba.
 
Karatu sec ilikuwa haipo duniani
Karatu Secondary School was built as a joint project between the government of Tanzania and the Lutheran Church .The school enrolled its first students in 1974.
The 40 enrolled students were internally displaced students from Tarime Sec School.
It was officially inagurated by President Julius Nyerere on 14 June 1980.
 
Acha kututisha mkuu...UDSM imeingiaje hapo?muungano kamwe hautovunjika na ccm haitotoka madarakani ...kwanza juzi mbona hujaonekana kwenye maandamano?ulijificha wapi ww kamanda ..mkamuacha mwenyekiti pekeyake
Nimesoma UDSM 1979, hujazaliwa na labda hata waliokuzaa walikuwa bado kuzaliwa! I can manage it better in english than kiswahili 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀😀😀😀😀
 
Acha kututisha mkuu...UDSM imeingiaje hapo?muungano kamwe hautovunjika na ccm haitotoka madarakani ...kwanza juzi mbona hujaonekana kwenye maandamano?ulijificha wapi ww kamanda ..mkamuacha mwenyekiti pekeyake
Rubbish!@ tafuta wa size yako in reasoning!
 
Polisi haya mnayoyafanya, , ya kumsaidia samia kuiuza Tanganyika, kuiharibu Tanganyika, muungano huu ukivunjka na ikawa serikali tofauti na CCM, hamtakimbilia zanzibar...you will never be accomodated in Zanzibar.
Pigania Tanganyika yetu , yeye anajenga zanzibar kwa rasilimali za Tanganyika nanyi mnamsaidia kuibomoa Tanganyika!
Hivi hakunaga POLISI au Askari wenye akili hata Kidogo??! Kuna siku tutapata IGP anayejitambua
 
Police wamezoea dhiki na fedheha toka JKT hivyo kwao sio shida kuishi kama wakimbiz after being Retired
 
Back
Top Bottom