You'll be Happiest, during these Two Years of your Life, according to Science

Ila pale kwenye 20's sure ni kipindi cha bata Sana, yaani huwazi chochote cha maana zaidi ya kufanya yanayokufurahisha tu.

Hahah!, hapa ndo nakubaliana na mada cos ndo ilivyo hata kwetu, huo umri mtu hukumbuki sana ya maana zaidi ulofanya zaidi ya kujirusha. Kwa kweli the most I can remember at that age ni weekends tu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani na kusafiri, daaaah!!!
 
Aisee!, kuna tofauti kubwa sana katika hii dunia jinsi tunavyoishi. Kwetu 60 mtu ndo anastaafu, halafu kwa kulazimishwa maana na bado ana mambo kibao yanamsubiri kufanya.
Wakati kuna wengine huko duniani wanapanga kumaliza kila kitu kama ni kulea na ku retire by 40, ili wa enjoy maisha mazuri bila bughudha ya kukuza au kusomesha watoto.
Kabisaa yaani kuna mambo ukilinganisha unaweza jikuta unamuuliza maswali mengi Sana Mungu.
 
wengine maisha yetu yamekuwa ya huzuni mno......tukipata kiwango hcho cha furaha hata kwa miez 6 tu tutashkuru sana,...wacha tuendeleee kufight na kupiga maombi
 
Acha tu!, hiyo siku ya Kumuona atapata maswali mengi sana.

wengine maisha yetu yamekuwa ya huzuni mno......tukipata kiwango hcho cha furaha hata kwa miez 6 tu tutashkuru sana,...wacha tuendeleee kufight na kupiga maombi

Yap! Nankumene. [emoji106]
 
Back
Top Bottom