You'll be Happiest, during these Two Years of your Life, according to Science

Ila pale kwenye 20's sure ni kipindi cha bata Sana, yaani huwazi chochote cha maana zaidi ya kufanya yanayokufurahisha tu.

Hahah!, hapa ndo nakubaliana na mada cos ndo ilivyo hata kwetu, huo umri mtu hukumbuki sana ya maana zaidi ulofanya zaidi ya kujirusha. Kwa kweli the most I can remember at that age ni weekends tu!
 
Hahah!, hapa ndo nakubaliana na mada cos ndo ilivyo hata kwetu, huo umri mtu hukumbuki sana ya maana zaidi ulofanya zaidi ya kujirusha. Kwa kweli the most I can remember at that age ni weekends tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani na kusafiri, daaaah!!!
 
Mkuu siku hizi unashusha madini, vipi mwenzetu umepata kazi ya kumbebea Lissu mikoba yake nini
Khaaa!, kubeba mikoba tena! [emoji28]

Mbimbinho sasa umenichoka! [emoji1]
 
Kabisaa yaani kuna mambo ukilinganisha unaweza jikuta unamuuliza maswali mengi Sana Mungu.
 
Mmh ngoja tufikirishe akili kutatua changamoto zetu ili kuhakikisha maisha ya furaha
 
wengine maisha yetu yamekuwa ya huzuni mno......tukipata kiwango hcho cha furaha hata kwa miez 6 tu tutashkuru sana,...wacha tuendeleee kufight na kupiga maombi
 
Kabisaa yaani kuna mambo ukilinganisha unaweza jikuta unamuuliza maswali mengi Sana Mungu.

Acha tu!, hiyo siku ya Kumuona atapata maswali mengi sana.

wengine maisha yetu yamekuwa ya huzuni mno......tukipata kiwango hcho cha furaha hata kwa miez 6 tu tutashkuru sana,...wacha tuendeleee kufight na kupiga maombi

Yap! Nankumene. [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…