Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Natumaini wote ni wazima humu..
Nafurahi sana kuwa mshabiki wa yanga.
Popote napopita natembea kishujaa kwa kuwa yanga.
Mafanikio yaliyopata yanga msimu huu kifedha na kuwakilisha tanzania ni makubwa mnoo.
Big up ziende kwa viongozi wetu.
Wachezaji wetu.
Benchi la ufundi.
Nawapa pongezi mashabiki wote wa yanga kweli,popote mlipo piga kifua sema mimi ni yanga tena kwa sauti kubwa,ndio yanga kwani kuna timu tanzania itajilinganisha na yanga sasa??
Yanga ndo baba lao..
Hii historia ni kubwa sana, vizazi na vizazi vitasimuliwa kuhusu mafanikio ya yanga.
Hicho kizazi cha yanga kwa sasa ni kizazi cha dhahabu.
Mafanikio waliyapata yanga msimu huu hakuna timu tanzania iliwahi kuyapata kwame yanga kweli ndo timu no 1 tanzania kwa sasa.
Simba wenyewe hawapata tabu sana kwa mafanikio waliyopata yanga,yani wanajipa faraja kusema eti tumekutana na timu dhaifu.
Kweli kushinda mechi 5 ugenini.
Kushinda mechi kwenye ardhi ya mwarabu sio jambo la kawaida hilo.
Kama jana uliangalia mechi mwenyewe ulijionea upumbavu waliokuwa wanafanya hao waarabu.
Kuchelewesha mipira ya kurusha.
Kuwasha moto ovyo.
Kujiangusha ovyo ovyo.
Refarii hakuwa upande wetu kabisa.
Waarabu wanafigisu za kipumbavu sana.
Ila kwa yanga walichokifanya kila timu africa sasa inaogopa kukutana na yanga,
Sio nyumbani tu hata ugenini yanga ni noma.
Hii ndo timu itakayoleta ubingwa hapa tanzania ya kwanza.
Kitu nilichogundua jana yanga ndo timu inayopendwa sana.
Napigilia muhuri kwa kusema yanga ndo timu kubwa tanzania na africa mashariki.
Daima mbele nyuma mwiko.