YOUNG AFRICA 2023 is unforgettable ever ever ever...

Haswaaaaah!!!
 
Yanga kakutana na vibonde tupu mpaka alipofikia,kule champoins alikutana na Al hilal ya Ibenge yenye stricker butu akajambishwa akuvuka sikwambii angekutana na majini ya Mamelody,Raja au Al ahly.
Mikia kama kawaida mlivyokuwa na msemaji manara mlikuwa manacopy kila usemi wake. Sasa hivi mna mlopokaji andazi mnapest tu semi za andazi
 
sio kweli
 
Kwa namna Yanga walivyohujumiwa hii mechi humu nchi kungekuwa na wasomi wazuri wa sheria za soka,mwisho wangegomea kutokukubariana na matukio yote yale ya uwanjani jana. Wachezaji wa Yanga kupigwa vichwa wazi kabisa. Wanapigwa ngumi wazi kabisa. Waarabu kuzima VAR. Na matukio mengine ya kihuni ya wazi kabisa
Pili final gani inakuwa na goli la ugenini?. Mshindi anachukua kombe kwa goli lipi kama wote mna 2,2?.
CAF wakiendelea kufumbia uhuni huu wa waarabu wanarudisha nyuma sana soka la Africa. Wachukue hatua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…