Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

[emoji120][emoji120]

Zamani mlikuwaga wepesi sana kuanzisha uzi mkijua Yanga mbofu sasa hivi jahazi limezama hata nguvu hamna. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wametwetaaaaa Wapo Hoiiii Taaaaabaniii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wananchi tunacheeeka kwa dharaaau. 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…