Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Huu uzi mbona umefunguliwa kimchongo sana au ni sub-uzi ila kuna uzi mkuu.

Fanya editing kidogo na ulete updates kama wenzio vile hifanya.
 
Ambundo ni msela mwenye nidhamu ya kazi sio kama ile misela mavi ya kule ukoloni inayochoma watu visu
 
Mbeya kwanza wanafanya mashambulizi lakini wanaambulia patupu yanga kwenye umiliki
 
Mbeya kwanza wanashambulia kwa kushtukiza inakuwa offside
 
Ina bidi tupewe kombe letu tuanze pre season. Tuwaache walio baki wamalize lig
 
Mods wana upendeleo hatuoni LIVE apo na updates za matokeo kama makolo wakicheza
 
Naona madogo wameamua kufunguka baada ya kugundua hawana cha kupoteza. Vijana wanatakiwa kuongeza umakini na pia mashambulizi ili tuwaongeze goli mtwtu nyingine .
 
Back
Top Bottom