Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi tunaongoza kwa 3 bila. Halafu Bosi nakutafuta kama shilingi ya Mkoloni.Ngapi hukoo, kila rakheri Yanga
Tatizo hamuanzishi uzi mapemaMods wana upendeleo hatuoni LIVE apo na updates za matokeo kama makolo wakicheza
Subirini kule Kirumba nyie 🐸 🐸, mtajua hamjui.Mpaka muda huu JUJU FC watakuwa wamejaa hofu kweli kweli! Wanajua na wenyewe wako kwenye foleni ya kuchomwa 💉 za kutuliza maumivu.
Tarehe 28 hata siyo mbali eti 🥵
Nipo mkuu mbona sijakuona, safi sana Yanga piga week hao😂Wananchi tunaongoza kwa 3 bila. Halafu Bosi nakutafuta kama shilingi ya Mkoloni.
Mbona hamjiamini?Mbeya kwanza wameamua liwalo na liwe saa hii wanasogea golini kwetu sio kama first half.
Kweli Mheshimiwa?Nipo mkuu mbona sijakuona, safi sana Yanga piga week hao😂
Kumbe nawe mwananchi🤣🤣🤣🤣🤣Nipo mkuu mbona sijakuona, safi sana Yanga piga week hao😂
Muonee huruma huyuKumbe nawe mwananchi🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa sii ubingwa tusherehekee kwa kugegeduana
Hahahaaa. Mtani umenipania leo. 🤣🤣🤣Mbona hamjiamini?
Tena mgegedo heavy zaidi ya ule wa mama J😂😂Kumbe nawe mwananchi🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa sii ubingwa tusherehekee kwa kugegeduana
🏃Hahahaaa. Mtani umenipania leo. 🤣🤣🤣
Hatujiamini wapi wakati ndo ukweli.
Mama j tutampiku tena by far dear usijaliTena mgegedo heavy zaidi ya ule wa mama J😂😂
Ah wapi huyu mwenyewe anapenda kugegegduana....sii umeona anasema yetu iwe zaidi ya mama jMuonee huruma huyu
Kazi njemaAh wapi huyu mwenyewe anapenda kugegegduana....sii umeona anasema yetu iwe zaidi ya mama j
Mwaka huu mtaambulia tu lile kombe la bonanza la Mapinduzi. Makombe ya ukweli yote tunachukua wananchi.Uto wamejipatia kamseleleko