Angalau leo safi, kuna nguchiro kama OKW BOBAN SUNZU na GENTAMYCINE nadhani wanagugumia! Halafu sijui kuna nini, mtu akiwa mshabiki wa Simba na mpenzi wa Chadema anakuwa wa ovyo au siyo Mshana JrTena tumeyafuta kikatili sana mdogo wangu yaani mpaka msimu unaisha nafasi ya kwanza munaisikia tu. 😅😅
I hope uko mzima. Ukimuona Bill 😉 mwambie namsalimia.😅