Young Africans imeshamsahau Feisal, Mayele, Nabi Moto unazidi kuwaka, Simba ijifunze kitu hapa

Young Africans imeshamsahau Feisal, Mayele, Nabi Moto unazidi kuwaka, Simba ijifunze kitu hapa

Mnatulazimisha sana kujifunza kwenu..kwani lazima...? Yani tujifunze kwa timu ambayo takribani miaka zaidi ya 20 haijaonja makundi champions league... 🐸
 
Mnatulazimisha sana kujifunza kwenu..kwani lazima...? Yani tujifunze kwa timu ambayo takribani miaka zaidi ya 20 haijaonja makundi champions league... [emoji196]
Nyie mmefika nusu au fainali ya mashindano yoyote ya CAF ndani ya miaka hiyo?
 
We endelea kujipa faraja hivyo hivyo, mara pa Yanga sc bingwa Africa. Hapo ndipo utajua Yanga sc ya sasa si ya kitoto
Unamsemea huyu Yanga ambae nina hakika makundi hafiki? Au kuna Yanga mwingine huko?
 
Salaaam Wanamichezo

Ngoma ilianzia katikati ya msimu wa mwaka jana bwana mdogo Feisal aliejiona ni mkubwa kuliko timu akaambiwa dogo tulia huu ukubwa tumekupa sisi, na sisi tunaweza bila ya wew akabisha basi akaonjeshwa joto kidogo then akaruhusiwa asepe, Lakini Yanga haikuonekana kuyumba na alizionjesha joto timu mbalimbali za Africa,

Baada ya msimu kuisha watu wakadai Yanga alikuwa ni Mayele wengine wakadai ni Nabi wengine wakasema ni muunganiko wa timu akitoka mmoja tu hamna kazi.

Lakini katika kuonesha Yanga ni timu inayoendeshwa kwa akili zaid Nabi akaruhusiwa aende, Mayele nae bila kumsahau Bangala akauzwa

Upande wa pili mujifunze hili inasemwa Simba iliyokuwa bora ilikuwa ni ile ya miaka minne nyuma ambayo mastaa wake ni Chama na Miquissone, kuuzwa kwa mastaa hao ilitosha kabisa kutokea anguko la Wanalunyasi na ajabu yake katika kujitafuta kwake ili irudi ktk line imeona iwarudishe watu hao na bado mambo si mambo papatu papatu sio mchezo

Kuna funzo kubwa sana hapa
Benchi lote la ufundi plus Mayele, Bangala, Djuma, Morrison nje lakini chama ndo linashine.
 
Back
Top Bottom