Young Africans imeshamsahau Feisal, Mayele, Nabi Moto unazidi kuwaka, Simba ijifunze kitu hapa

Mnatulazimisha sana kujifunza kwenu..kwani lazima...? Yani tujifunze kwa timu ambayo takribani miaka zaidi ya 20 haijaonja makundi champions league... 🐸
 
Mnatulazimisha sana kujifunza kwenu..kwani lazima...? Yani tujifunze kwa timu ambayo takribani miaka zaidi ya 20 haijaonja makundi champions league... [emoji196]
Nyie mmefika nusu au fainali ya mashindano yoyote ya CAF ndani ya miaka hiyo?
 
We endelea kujipa faraja hivyo hivyo, mara pa Yanga sc bingwa Africa. Hapo ndipo utajua Yanga sc ya sasa si ya kitoto
Unamsemea huyu Yanga ambae nina hakika makundi hafiki? Au kuna Yanga mwingine huko?
 
Benchi lote la ufundi plus Mayele, Bangala, Djuma, Morrison nje lakini chama ndo linashine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…