Young Africans SC yakodishwa rasmi kwa Yusuf Manji

Yanga bhana.... ndo maana sishangai klabu kongwe inajenga makao yake makuu mabondeni
 
"7. Mkodishwaji atahakikisha kuwa Timu ya Soka ya YANGA haitamaliza chini ya nafasi nusu mwisho wa msimu wa ligi ya Tanzania Premium League wakati ikiwa ndani ya kipindi cha Mkataba."

Hapa sijaelewa kitu.
Maana yake mkodishwaji atafanya usajili mzuri na maandalizi ya kufa mtu ili timu ifanye vzr
 
Kipengele kipi na kipi specifically!!
Kuna vipengele kibao kwenye huo mkataba ni utata mtupu, ibet kabla ya miaka miwili wanachama wa yanga wanoshangilia Leo ndo watakua wa kwanza kulalamika vipengele vingi vinavyombna mkodishwaji ni mandatory lakini vya yanga ni must
 
DUU!!!! Jamaa anaipenda yanga kweli kweli maana kuna sehemu amejifunga vilivyo.
 
Ngoja niusome kwanza ndo nije kukomenti!
 
Mahaba au ukweli..
Deni bil 11 nani kathibitisha?
Mil 100 kila mwaka
25% ya faida ili ijenge uwanja hapo unaonaje?
Sasa hivi yanga inaingiza faida kiasi gani ukitoa gharama zote za uendeshaji? Ukipata jibu njoo uiponde hiyo milioni 100 na hiyo 25%
 
Hivi wewe peke yako ndo unajiona upo smart Sana? Na uharo wako uloandika hapo?
 
Mkuu naona comment yako imepeperushwa clouds fm
 
watu wanashangaa kipengele cha kusema mwaka wowote ambao faida itapatkana.hv kuna nani ataniambia mwaka ambao tim yeyote ya tz imepata faida kwenye uendeshaj wake?baraza la wadhamin lina akili ndio maana wamesema hivyo.
 
mzee akilimali kala shilingi ngapi?...nahisi kama aliamua kuufyata.
 
watu wanashangaa kipengele cha kusema mwaka wowote ambao faida itapatkana.hv kuna nani ataniambia mwaka ambao tim yeyote ya tz imepata faida kwenye uendeshaj wake?baraza la wadhamin lina akili ndio maana wamesema hivyo.
Sasa unataka uwanja ujengwe na hela gani wakati faida hamna?
 
Alternatively ulitaka yanga ifanyaje?
Iachane na huu mkataba au la bahadhi ya vipengele vibadilishwe.........mfano:-

1.kuilipa Yanga 25% hadi apate faida asipopata inakula kwa Yanga.

2.kipengele hapo juu is almost impossible kwa sababu mkodishaji atakuwa yupo busy kulipa deni kwa mkopeshaji ambaye kimsingi ni yeye mwenyewe.

3.Yanga kupewa 100m kila mwaka za maendeleo,kama kujenga uwanja etc.

Swali.......(i)ni sahihi Yanga kama brand kulipwa 100m kwa mwaka?
(ii)Yanga itafanya maendeleo gani kwa hizo 100m?

----------Baada ya ufafanuzi huo,je bado unaendelea kubisha bisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…