Mkataba wa ki-Mangungo kabisa kama karne hii ya 21.
Eti "mkodishwaji atalipa deni la tsh. 11.6Bn kwa mkopeshaji mmoja hivi"
Swali: huyo mkopeshaji mmoja ni Nani?
Si waweke wazi kuwa ni Manji watu wajue moja.
Kichekesho kingine,eti mwaka wowote atakaopata faida basi 25% iende klabuni,
sasa faida atapataje ikiwa mkodishwaji atakuwa yupo busy akilipa deni kwa mkopeshaji? Ha ha ha
-la mwisho,eti mkodishaji atailipa Yanga 100m kila mwaka kwa klabu kufanya maendeleo yake kama kujenga uwanja wake nk.
-Pia akiingia mkataba wowote Yanga haina haki ya kuhoji.
My take: hapa ndo utaona ni afadhali ya sultan Mangungo maana yeye kilichomponza ni kutojua kusoma na kuandika tu but he was intelligent.