tukishaanza msimu na kufukuza makocha tumekuwa hatunaga jipya huko CAF tunatolewa hatua ya makundi, rejea msimu wa 2024/2025 alivoondoka Gamondi, tukaja msimu wa 2025/2026 alivoondoka Folz na sasa tupo 2026/2027 kuondoka kwa Manqoba, kwaio nachoona mimi ni script ile ile tu, binafsi siwez jipa matarajio makubwa na hii timu kwasasa kwenye chochote kwasababu ya makosa yale yale ambayo uongozi wa yanga unayafanya kwenye misimu ya hivi karibuni kuanzia kwenye usajili wa wachezaji mpk makocha.