Young Africans tayari wametua Dar kuelekea derby ya K'koo

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari!

Baada ya kukusanya point 7 kati ya 9 kanda ya ziwa. Mabingwa wa kihistoria Young Africans wamewasili Dar es Salaam kutokea Mwanza.

Tayari kwa maandalizi kelekea mpambano wa derby ya Kariakoo Jumamosi ya November 7.

Wape Salaam!



 
Wamekuja na Baleke John Bakilile?
 
Karibuni wananchi kwa ajili ya kumnyoa mikia tar 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…