Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
linarudi hilo.
Hahahahaha!! Eti kule Duniani, kwani mkuu TZ sio Duniani?, Hahahahaha nimecheka sana mkuu.
Kwa nini Kocha alimuanzisha Juma na Yordani benchi?
Mpira nzuri lakin una presha sana
nifah, Bantu lady, Matale Masuke na wengineo njooni tusaidiane nakufa na presha huku
Thank God kocha amenisikia...Yondan anaingia..Said Juma anatoka...
Naona Yondani anaingia badala ya Makapu...cc Balantanda
Pengine kocha alikua na plan zake!!!Kwa nini Kocha alimuanzisha Juma na Yordani benchi?
Tumewazima na tunawashambulia sasa...