Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Alafu huu uzi leo mbona kama unaumwa EBORA??
Wapi Yanga's????
 
Yanga funga goli moja tu, mtakuwa meshinda tie ...
 
Dah!! hesitation ya Ngassa inaikosesha Yanga nafasi ya kufunga
 
Kwa nini Kocha alimuanzisha Juma na Yordani benchi?

Ilikuwa nzuri kwa lengo la kusoma mchezo...

Sasa hivi Yanga wamekamata kiungo..Na wamebadili mfumo...

Wanacheza 3-5-2 na mwanzo walicheza 4-4-2...

Tunawashambulia sasa...
 
Msuva amefichwa sana...Kuna haja kwa kocha kumuingiza Hussein Javu sasa
 
Back
Top Bottom