Tumewazima na tunawashambulia sasa...
Tumewapooza pale kati..Mwanzo walitawala kiungo...Sasa hivi tunewashika na tunashambulia...Mkuu kwa muono wangu jamaa bado wazima sana tu...
Wachezaji wetu hawapaswi kufanya makosa maana hawa jamaa wazuri mno mipira ya juu...
Hawa watangazaji ni wanazi jamani...Dah
Niyonzima ni fundi....
Hawa watangazaji ni wanazi jamani...Dah
Mkuu ngapi ngapi??!!
Amefanyaje mkuu
Msuva amefichwa sana...Kuna haja kwa kocha kumuingiza Hussein Javu sasa
Tumewapooza pale kati..Mwanzo walitawala kiungo...Sasa hivi tunewashika na tunashambulia...
Ila Msuva sio leo...Wamemkamia sana
Anauchezea mpira atakavyo...mpaka watangazaji wa Zimbabwe wanamsifia
mkuu Msuva hastahiri kutoka,maana inaonesha wanamuogopa sana thats why wamenkamia.
by the way hayo ni mawazo yangu,msije mkanizodoa mie mkia bhana!!!