Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Mkuu kwa muono wangu jamaa bado wazima sana tu...

Wachezaji wetu hawapaswi kufanya makosa maana hawa jamaa wazuri mno mipira ya juu...
Tumewapooza pale kati..Mwanzo walitawala kiungo...Sasa hivi tunewashika na tunashambulia...

Ila Msuva sio leo...Wamemkamia sana
 
Daaah!!! Niyonzima niaje chaliiii
 
Amis Tambwe naona kajeruhiwa...

Yupo nje anagangwa...
 
Msuva amefichwa sana...Kuna haja kwa kocha kumuingiza Hussein Javu sasa

Tumewapooza pale kati..Mwanzo walitawala kiungo...Sasa hivi tunewashika na tunashambulia...

Ila Msuva sio leo...Wamemkamia sana

mkuu Msuva hastahiri kutoka,maana inaonesha wanamuogopa sana thats why wamenkamia.
by the way hayo ni mawazo yangu,msije mkanizodoa mie mkia bhana!!!
 
1.jpg

Tumewakosa
 
mkuu Msuva hastahiri kutoka,maana inaonesha wanamuogopa sana thats why wamenkamia.
by the way hayo ni mawazo yangu,msije mkanizodoa mie mkia bhana!!!

Nadhani upo sahihi...
 
Barthez na Yondani walitaka kufanya madudu...
 
Back
Top Bottom