MSIMISEKI SENIOR
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 459
- 287
Asante Yanga kwa kuiwakilosha nchi kwa ushindi,hao wengine tuwaachie kombe la mtaji jembe.
Shitttt!!!!
Wenzio tunakula "BILIANI" wewe unatuletea "MAGIMBI"
Mchezo wa kukamilisha ratiba umeisha.
Sasa waleteni wengine tuwakamue
Ok.
sasa mjiandae maana mnaenda kukutana na waarabu nyambaf.u!
Mchezo wa kukamilisha ratiba umeisha.
Sasa waleteni wengine tuwakamue
mikia na kagera mwenye matokeo atuwekee tafadhali
Wanapaki basi mjomba
umerukwa na akili raundi ya tatu hamvuki mbele ya waarabu. mtaisoma
Shitttt!!!!
Wenzio tunakula "BILIANI" wewe unatuletea "MAGIMBI"
Aya tumekusikia,kajoe ulale!!!
ahahahahaha next watapangwa na waarabu au Angola.. hapo ndio wataona rangi
Hivi Simba FC, Wazee wa Kwanza kupanda ndege Tanzania; na wenyewe washavuzu, au?