Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Tatizo upo kifurukutwa zaidi...
Yanga kacheza mpira mzuri na wenye malengo...
Kumbuka kibindoni tayari timu ilikuwa na magoli 5 hivyo kitu pekee ilikuwa ni kukaba sana na kutengeneza nafasi za kushtukiza...
Yanga kacheza mpira mzuri na wenye malengo...
Kumbuka kibindoni tayari timu ilikuwa na magoli 5 hivyo kitu pekee ilikuwa ni kukaba sana na kutengeneza nafasi za kushtukiza...
Mkuu unakifahamu nachoongelea?? sio masuala ya kupoteza muda, leo mmecheza mpira mbovu sana na nadhani hata wao wanashangaa kwanini timu yao ilifungwa goli zote hizo Dar. Waliweza kuwamiliki vizuri tu sema ni uzembe wao kule mbele na defense yenu ilijitahidi. Unless otherwise wasingewatoa ila walau wangeweza kupata goli 3