Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Tatizo upo kifurukutwa zaidi...

Yanga kacheza mpira mzuri na wenye malengo...

Kumbuka kibindoni tayari timu ilikuwa na magoli 5 hivyo kitu pekee ilikuwa ni kukaba sana na kutengeneza nafasi za kushtukiza...

Mkuu unakifahamu nachoongelea?? sio masuala ya kupoteza muda, leo mmecheza mpira mbovu sana na nadhani hata wao wanashangaa kwanini timu yao ilifungwa goli zote hizo Dar. Waliweza kuwamiliki vizuri tu sema ni uzembe wao kule mbele na defense yenu ilijitahidi. Unless otherwise wasingewatoa ila walau wangeweza kupata goli 3
 
Ingekuwa ni mvua basi mechi ingechezwa kesho J'2

Ishu ni hiyo mambo ya ajali..

Hapana mkuu.
Mimi nilikua Tabara kikazi na nikikua nikaamua niende SHY kumcheki mnyama.Ile nafika TINDE nakutana na mashabiki wanarudi nzega wakasema mechi hakuna bcoz uwanja umejaa maji.
 
Tatizo upo kifurukutwa zaidi...

Yanga kacheza mpira mzuri na wenye malengo...

Kumbuka kibindoni tayari timu ilikuwa na magoli 5 hivyo kitu pekee ilikuwa ni kukaba sana na kutengeneza nafasi za kushtukiza...

Hongereni watoto wa Jangwani..
 
Hapana mkuu.
Mimi nilikua Tabara kikazi na nikikua nikaamua niende SHY kumcheki mnyama.Ile nafika TINDE nakutana na mashabiki wanarudi nzega wakasema mechi hakuna bcoz uwanja umejaa maji.

uko sahihi, by the way game ya simba haiwezekani kupigwa kesho coz Stand United ndo atacheza kesho kwenye dimba hilohilo
 
Tatizo upo kifurukutwa zaidi...

Yanga kacheza mpira mzuri na wenye malengo...

Kumbuka kibindoni tayari timu ilikuwa na magoli 5 hivyo kitu pekee ilikuwa ni kukaba sana na kutengeneza nafasi za kushtukiza...

Elewa kuwa hotel ilipo hadi uwanjani kuna kilometre 180.
 
Tatizo upo kifurukutwa zaidi...

Yanga kacheza mpira mzuri na wenye malengo...

Kumbuka kibindoni tayari timu ilikuwa na magoli 5 hivyo kitu pekee ilikuwa ni kukaba sana na kutengeneza nafasi za kushtukiza...

Elewa umbali wa kutoka hotelini hadi uwanjani ni 180. kilometres
 
Basi kina Bin Zubeiry na wenzake wametuingiza chaka maana wao ndio walioandika msiba ndio chanzo cha mechi kusogezwa mbele...

Hapana mkuu.
Mimi nilikua Tabara kikazi na nikikua nikaamua niende SHY kumcheki mnyama.Ile nafika TINDE nakutana na mashabiki wanarudi nzega wakasema mechi hakuna bcoz uwanja umejaa maji.
 
Yahoo mwalimu wa zamu nimekuja..... nidhamu idumishwe

Mwalimu kila kitu kilienda sawa,uckonde,nilianzisha thread nikasepa zangu hakuna aliyemtukana mwenzake wala hakuna alieongea kiswanglish
 
Nimepata tetesi eti wale etoile du sahel ndo wamepita,je wale kwa mtazamo wale c vibonde tunapiga tuu wana jangwani wenzangu??
 
Bado hajapita ingawaje mechi ya kwanza alishinda goli 1 huko Tunisia...

Mechi ya marudiano ni tar 5 April na baada ya hapo ndio Yanga itajua itacheza na Waangola au Watunisia...
 
yanga wakifungaGWA huwa nifurahi mwenzenuuuuuu kwikwikwikwi
 
Back
Top Bottom