Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Full Time:

Yanga imesonga mbele licha ya kufungwa goli moja na FC PLATNUM ya Zimbabwe kwenye Kombe la shirikisho ikijivunia mtaji wa bao 5-1 mechi ya awali hapa Tanzania
 
Dakika ya 23 sasa Yanga kashapigwa 2 bila moja la penalt
 
Dakika ya 23 sasa Yanga kashapigwa 2 bila moja la penalt

Dogo umefunga shule jana tu kwa ajiri ya sikukuu leo imekimbilia JF?
Ni bora muwahi kufungua shule ili mtupishe kwenye haya majukwaa yetu!!!!
 
]Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya F.C Platinum;
1.Ally Mustapha "Barthez"
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub "Canavaro"
5.Mbuyu Twite
6.Said Juma Makapu
7.Simon Msuva
8.Salum Telela "Abo master"
9.Amiss Tambwe "Falcao"
10.Mrisho Ngassa
11.Haruna Niyonzima "Fabregas"

SUB------
Deogratius Munishi "Dida"
Rajabu Zahir
Kelvin Yondan
Nizar Halfan
Danny Mrwanda
Husein Javu

Kocha mkuu-
Hans Van dar Pluijm

Kocha msaidizi--
Charles Boniface Mkwasa "Master"

Daktari
Juma Sufiani

Meneja wa timu
Afidhi Saleh

Kila la kheir dar young africa
 
Back
Top Bottom