FT: yanga 4-1 toto africans
Juma abdul
Simon msuva
Amisi tambwe
Simon msuva
TzPr 1-0Mikia
Asanteni kwa taarifa Wakuu.. Pia hongereni kwa ushindi wa haja.
Baba anacheza na mtoto wake
Asanteni kwa taarifa Wakuu.. Pia hongereni kwa ushindi wa haja.
Maguli kawa mtam simba mtajuta kumuuza
Asanteni kwa taarifa Wakuu.. Pia hongereni kwa ushindi wa haja.
Mkuu Sembo, pole sana huo mpira.
huyu ndiye mkereketwa wa mikia hawa?
Wengine walishakata tamaa, huyu bado anarukaruka naamini mwakani nae atapotea