eliah Masige
New Member
- Jul 28, 2015
- 4
- 1
Ushindani hapa nchini umebaki yanga na azam, simba na mwadui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindani hapa nchini umebaki yanga na azam, simba na mwadui
Mechi nzuri pia simba na mwadui
Mkuu nilikuwa bize na kampeni ndio maana sikuwepo hapa wiki hii. Nadhani sasa mnitajikita zaidi huku.
Mkuu nilikuwa bize na kampeni ndio maana sikuwepo hapa wiki hii. Nadhani sasa mnitajikita zaidi huku.
Nani anayehitaji kumissiwa na wewe...mke wangu ananitosha. Halafu kuanza jina la mtu na 'Li' unamaanisha nini au ndiyo kuchokoza mzinga wa nyuki wakikung'ata ukimbilie kwa baba yako Invisible ili mashabiki wa Simba wafungiwe au siyo?