Young Africans (Yanga) SC to the world

Young Africans (Yanga) SC to the world

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu.

Hebu chekini hapa.

FB_IMG_1656361367121.jpg

Hakika hii ndio klabu kubwa Afrika mashariki na kati, pengine Africa kwa ujumla....

Kongore wananchi..... 💪💪💪
 
Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu...
Kwani mnafikiri wao hawajui kwamba mna miaka 4 bila kombe ndo Maana mkakusanyana nchi nzima kwenda kushuhudia kombe linafananaje?
 
Kwani mnafikiri wao hawajui kwamba mna miaka 4 bila kombe ndo Maana mkakusanyana nchi nzima kwenda kushuhudia kombe linafananaje?
Nikuletee ya Madrid wakisheherekea ubingwa wao??? 🤣🤣🤣 Au ya man city? 😂😂😆😆
 
Makolo wamkuwa wadogo kama piriton, kwenye magroup ya watsapp kumekuwa na utulivu wa pekee, kelele Hamna
 
Makolo wamkuwa wadogo kama piriton, kwenye magroup ya watsapp kumekuwa na utulivu wa pekee, kelele Hamna
Wiki hii imekuwa ngumu sana kwao.... Wakigeukia timu yao wanakutana na kipigo cha wanajelajela, wakirudi kwa mtani wanakuta ndo kwaanzaaaa anasifiwa na haringi 🤣🤣🤣🤣
 
Wiki hii imekuwa ngumu sana kwao.... Wakigeukia timu yao wanakutana na kipigo cha wanajelajela, wakirudi kwa mtani wanakuta ndo kwaanzaaaa anasifiwa na haringi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utopolo gani hawaringi?
Hakuna timu inayojua kuringa kama utopolo.

Ila ni kawaida kwa ke kujishebedua.Hingereni
 
Utopolo gani hawaringi?
Hakuna timu inayojua kuringa kama utopolo.

Ila ni kawaida kwa ke kujishebedua.Hingereni
Msumari wa moto ukishakuingia na ukatelekezwa ujisafishe kidonda ndo inavokiwaga... Inaonekana una uchungu sana!

Na leo mi ni mbeya kwanza damu... 🥳🥳🥳🥳🥳
 
Back
Top Bottom