Kwani mnafikiri wao hawajui kwamba mna miaka 4 bila kombe ndo Maana mkakusanyana nchi nzima kwenda kushuhudia kombe linafananaje?Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu...
Wiki hii imekuwa ngumu sana kwao.... Wakigeukia timu yao wanakutana na kipigo cha wanajelajela, wakirudi kwa mtani wanakuta ndo kwaanzaaaa anasifiwa na haringi π€£π€£π€£π€£Makolo wamkuwa wadogo kama piriton, kwenye magroup ya watsapp kumekuwa na utulivu wa pekee, kelele Hamna
Utopolo gani hawaringi?Wiki hii imekuwa ngumu sana kwao.... Wakigeukia timu yao wanakutana na kipigo cha wanajelajela, wakirudi kwa mtani wanakuta ndo kwaanzaaaa anasifiwa na haringi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msumari wa moto ukishakuingia na ukatelekezwa ujisafishe kidonda ndo inavokiwaga... Inaonekana una uchungu sana!Utopolo gani hawaringi?
Hakuna timu inayojua kuringa kama utopolo.
Ila ni kawaida kwa ke kujishebedua.Hingereni