Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za msimu mpya na hii ni maalum kuelelea kilele ya siku ya mwananchi itakayo fanyika huko Zanzibar.
Nukuu. "Kesho tunazindua jezi isiyo na makandokando, tutazindua jezi ya mpira"
Picha loading....
siku zote mpira unaumiza sana mashabiki kuliko watendaji.Ila kwa usajili wa Haji Manara, hakika sisi kweli ni UTOPOLO!! 🙄
Labda hizo jezi zikiwa nzuri zitatufariji kwa haya maumivu tunayopitia.
Haji Manara hana tofauti na yule Sauli wa kwenye Biblia aliye ongoka baadae na kuja kuitwa Mtume Paulo! Itachukua miaka mingi sana kwa sisi Wahafidhina kumkibali hiyu kiumbe aliye ikejeli na kuikashifu timu yetu kwa miaka chungu ya kitosha tu.
Achana na ushabiki wa Manara, Manara yupo kiajira.Ila kwa usajili wa Haji Manara, hakika sisi kweli ni UTOPOLO!! 🙄
Labda hizo jezi zikiwa nzuri zitatufariji kwa haya maumivu tunayopitia.
Haji Manara hana tofauti na yule Sauli wa kwenye Biblia aliye ongoka baadae na kuja kuitwa Mtume Paulo! Itachukua miaka mingi sana kwa sisi Wahafidhina kumkibali hiyu kiumbe aliye ikejeli na kuikashifu timu yetu kwa miaka chungu ya kitosha tu.
Merquisone keshafika hapo?[emoji23]Viongozi wameanza kuwasili katika ukumbi wa Mliman City
Hizi timu ni zaidi ya dini kwa maana dini mtu anaweza kuhama, lkn hakuna yanga wa kweli atakaekuwa mshabiki wa simba wala simba wa ukweli ataekuwa mshabiki wa yanga, ikiwa yeye ni yanga wa kweli kama alivyojinasibu na kubusu jezi, ilipaswa ajitangaze na kukaa pembeni kama mwanachama au mshabiki, lkn kitendo kurudi yanga kisa kuahidiwa uongozi kama alivyosema yeye mwenyewe jana inaleta tafsiri mbaya,,Ila kwa usajili wa Haji Manara, hakika sisi kweli ni UTOPOLO!! 🙄
Labda hizo jezi zikiwa nzuri zitatufariji kwa haya maumivu tunayopitia.
Haji Manara hana tofauti na yule Sauli wa kwenye Biblia aliye ongoka baadae na kuja kuitwa Mtume Paulo! Itachukua miaka mingi sana kwa sisi Wahafidhina kumkibali hiyu kiumbe aliye ikejeli na kuikashifu timu yetu kwa miaka chungu ya kitosha tu.
Inabadilishwa damu sembuse Timu,Mpira ni biashara,kazi na pesa.Hizi timu ni zaidi ya dini kwa maana dini mtu anaweza kuhama, lkn hakuna yanga wa kweli atakaekuwa mshabiki wa simba wala simba wa ukweli ataekuwa mshabiki wa yanga, ikiwa yeye ni yanga wa kweli kama alivyojinasibu na kubusu jezi, ilipaswa ajitangaze na kukaa pembeni kama mwanachama au mshabiki, lkn kitendo kurudi yanga kisa kuahidiwa uongozi kama alivyosema yeye mwenyewe jana inaleta tafsiri mbaya,,
Mimi simba wa kutupwa ila majirani mmeyumba kwa huyu chawa ni bora hata senzo yule msouth hatujui mapenzi yake yako wapi yeye yupo kikazi tu,,,,

Jamaa usiingilie taaluma usizozifahamu, hauwezi kubadili damu kutoka group O ukawa group A, endelea na ushabiki tu, hiyo mifano unayojaribu kutumia haihusianiInabadilishwa damu sembuse Timu,Mpira ni biashara,kazi na pesa.
Kumbe watu wanapoenda kubadili damu huwa wanabadili magroup yao ya damu nilikuwa silijui hili.Jamaa usiingilie taaluma usizozifahamu, hauwezi kubadili damu kutoka group O ukawa group A, endelea na ushabiki tu, hiyo mifano unayojaribu kutumia haihusiani
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Point yangu ni wewe kufananisha damu na timu, kutoka Simba kwenda Yanga ni kama utoke Uislamu uwe Mkristu au vice versaKumbe watu wanapoenda kubadili damu huwa wanabadili magroup yao ya damu nikikuwa silijui hili.