Young Africans yazindua jezi mpya msimu wa 2021/2022

Young Africans yazindua jezi mpya msimu wa 2021/2022

FB_IMG_16298839324639168.jpg
 
Hizi timu ni zaidi ya dini kwa maana dini mtu anaweza kuhama, lkn hakuna yanga wa kweli atakaekuwa mshabiki wa simba wala simba wa ukweli ataekuwa mshabiki wa yanga, ikiwa yeye ni yanga wa kweli kama alivyojinasibu na kubusu jezi, ilipaswa ajitangaze na kukaa pembeni kama mwanachama au mshabiki, lkn kitendo kurudi yanga kisa kuahidiwa uongozi kama alivyosema yeye mwenyewe jana inaleta tafsiri mbaya,,
Mimi simba wa kutupwa ila majirani mmeyumba kwa huyu chawa ni bora hata senzo yule msouth hatujui mapenzi yake yako wapi yeye yupo kikazi tu,,,,
Yanga wamezingua kumpa ajira, yani unamaanisha alitakiwa akae bila kazi aadhirike kama mlivyokuwa mnaombea Ili mpate nguvu za kumfungulia nyuzi kila kukicha?

Amefukuzwa Simba na Sasa yupo Yanga lakini bado inakuuma tu, aiseeh kweli wabongo wachawi.Yaani mtu mliesema hana michango wowote kahamia Yanga ila bado inakuuma kwa kipi sasa? Angekaa bila kazi wewe ungemhudumia?

Acheni jamaa apige kazi bwana.
 
Ila kwa usajili wa Haji Manara, hakika sisi kweli ni UTOPOLO!! [emoji849]

Labda hizo jezi zikiwa nzuri zitatufariji kwa haya maumivu tunayopitia.

Haji Manara hana tofauti na yule Sauli wa kwenye Biblia aliye ongoka baadae na kuja kuitwa Mtume Paulo! Itachukua miaka mingi sana kwa sisi Wahafidhina kumkibali hiyu kiumbe aliye ikejeli na kuikashifu timu yetu kwa miaka chungu ya kitosha tu.
Aliyependwa na Baba yako ndiye Mama yako. Hakuna jinsi nyingine Mgosi.
 
Ila kwa usajili wa Haji Manara, hakika sisi kweli ni UTOPOLO!! 🙄

Labda hizo jezi zikiwa nzuri zitatufariji kwa haya maumivu tunayopitia.

Haji Manara hana tofauti na yule Sauli wa kwenye Biblia aliye ongoka baadae na kuja kuitwa Mtume Paulo! Itachukua miaka mingi sana kwa sisi Wahafidhina kumkibali hiyu kiumbe aliye ikejeli na kuikashifu timu yetu kwa miaka chungu ya kitosha tu.
Bila shaka jezi zimetufariji au kwako ni tofauti
 
Yanga wamezingua kumpa ajira, yani unamaanisha alitakiwa akae bila kazi aadhirike kama mlivyokuwa mnaombea Ili mpate nguvu za kumfungulia nyuzi kila kukicha?

Amefukuzwa Simba na Sasa yupo Yanga lakini bado inakuuma tu, aiseeh kweli wabongo wachawi.Yaani mtu mliesema hana michango wowote kahamia Yanga ila bado inakuuma kwa kipi sasa? Angekaa bila kazi wewe ungemhudumia?

Acheni jamaa apige kazi bwana.
Mimi hainiumi yanga kumpa kazi manara isipokuwa kuna yanga wangapi Tanzania nzima wenye sifa zaidi ya yale matapishi ya simba na je vipi kuhusu bumbuli yanga kindakindaki kwani ye hatoshi na nugaz je
Muda utaongea,,,,
 
Back
Top Bottom