Young Afrikans Sports Club ni timu ya vijana waafrika yenye viongozi wazee

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Jina la timu ya young Africans sports club haliendani na uhalisia.Young Africans sports club maana Yake Ni timu ya vijana wa kiafrika.Lakini uongozi umejaa wazee vikongwe wa kike na kiume.Simba hoyee.
 
na hata hao vijana wachache walionao pia wanamambo na mawazo ya kizee zee,,

Minashauri yanga ingebadilishwa matumizi,,ikawa Yanga bakulutu music band,watatisha sana kwenye tasnia ya dansi.

Back
Top Bottom