Hiyo nyumba ndio ya bilionea ,kazi kweli kweli na lema mbunge ni bilionea wa ngapi
Unaelewa kinachowaua? Kwa kifupi wapo waliojihusisha na dawa za kulevya wametangulizwa huko mbele maana hatutaki kesi halafu wapo waliokuwa wanasapoti mabadiliko ya kisiasa kwa kutumia fedha zao na elimu yao na hao fukia chini, wapo waliouana kwa sababu za kibiashara, mambo ni mengi.poleni wafiwa, ila kwa nyie mabilionea wa arusha hasa madini , kama hizo mali mlizipata kwa kudhulumu mtakwisha kiajabu ajabu hivihivi, nlishapata stori moja sasa nimeanza kuamini mlinyang'anya sana mali za watu , na mkamtumia advocate bilionea mawalla na mkashinda sasa mrudieni Mungu , kwa mtazamo tu anzia kifo cha Mawalla , utaona mfululizo wa vifo vya ajabu kwa hawa mabilionea .
Ila alikua bado mdogo sana..huyu kweli angeweza kuja kua billionea...maake at the age of 21 anamiliki kindege chake.
Mtoa mada hivi kuna ulazima gani kuandika uzi kwa kupotosha?marehem jimmy hakuwa mfanyabiashara wa madini arusha acha uongo we pimbi..
Leo nimeona karibia kila msanii wa bongo kampost hasa wadada wa bongomovie 🙄
Haya mambo ya kutukusanyia habar na kutuletea humu afu za uongo inakera sanaa!
Mbona simjui Huyo bilionea wa A town? Nipo huku Minjingu umenyeni tangu 90's sijawahi msikia Huyo dogo.
huyu sio billionea wa arusha bali ni mdogo wake Haidali kavila
Hivi ni kweli king una ishi minjingu??? Zamani kidogo ulikuwa ukilitaja hilo eneo sana.
Huko minjingu ukiishi huko huwezi kuwajua mabiliinea wa Arusha.
Thamani ya mali zako zikifika bilioni moja tu tayari wewe ni bilionea. Tupige Hesabu ya fasta hiyo helicopter kama kweli ni yake, Nyumba na mali nyingine anaweza kuwa amevuka bilioni moja.