Young Bilionea wa Madini wa Arusha Afariki Dunia

Young Bilionea wa Madini wa Arusha Afariki Dunia

Anavyoonekana tu, that's y hakuwahi kuwa maarufu kihivyo, maana qngekuwa mwingine dunia nzima wangemjua, nasikia alikuwa hana dharau wala maringo, kila mtu anaongea nae
Ni kweli kabisa. Nakubaliana na wewe
 
Maarufu alikuwa Young Milionea Muzamil Katunzi wa enzi za ngwasuma, siku hizi kimyaa, ukionawa Bongo Movies ,Bongo fleva ,Wakongo wanakupenda jua una mapene,mara mapene yakiisha hata kupaishwa na akina Nyoshi,Kupaza,Charlz baba kunaisha.
 
Back
Top Bottom