Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Hahaaaaaa yani majina ya watu yananiachaga hoi sana kuna mtu alikusanya herufi za madem zake wote ndio akajiita jina.Ok safi kiukwel kati ya tunda ninalolipenda sana ni chungwa kwahyo hata shemeji yako mwisho wa siku akanibatiza machungwa.hivyo tu.
Cc. Chamilton
Mm napenda nanasi ningejiita hivo