Young D afunga ndoa kimya Kimya

Ok safi kiukwel kati ya tunda ninalolipenda sana ni chungwa kwahyo hata shemeji yako mwisho wa siku akanibatiza machungwa.hivyo tu.
Hahaaaaaa yani majina ya watu yananiachaga hoi sana kuna mtu alikusanya herufi za madem zake wote ndio akajiita jina.
Cc. Chamilton
Mm napenda nanasi ningejiita hivo
 
Hahaaaaaa yani majina ya watu yananiachaga hoi sana kuna mtu alikusanya herufi za madem zake wote ndio akajiita jina.
Cc. Chamilton
Mm napenda nanasi ningejiita hivo
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Isiwe ikawa kiki ya nyimbo pakukaa hana anakaa studio kwa t touch halafu ajikute tu anaoa
Vipi asee aliwahi kukuopoa akakupeleka kwa T Touch nini? Pole sana mrembo kwa kulazwa studio
 
Vipi asee aliwahi kukuopoa akakupeleka kwa T Touch nini? Pole sana mrembo kwa kulazwa studio
Unaona kila anayeongea hivyo kalalwa na huyo teja eenh na kila siku tunaona kwenye shilawadu
 
Huyu si ndio yule dogo wa bongo bahati mbaya....kwa spidi ile nilijua lazma ataoa mzungu....
 
nimejiuliza sana hilo swali nikasema ngoja tumpe muda mana makanisa ya siku hizi mengi kimeo anaweza kufungishwa hivyo hivyo na msuko wake
Atakua kafungishwa na yule padri rapa wa Kenya aliyesimamishwa kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…