Young D atiwa mbaroni kwa kumshushia kichapo heavy jirani yake wa kike

Enzi zangu huyo nilikuwa namfikisha kituoni anaimba jina langu.
 
Meneja wake alijitahidi sana kumuokoa lkn alishindwa na alishasema kama atatokea wa kumsaidia basi atashukuru sana
 
Meneja wake alijitahidi sana kumuokoa lkn alishindwa na alishasema kama atatokea wa kumsaidia basi atashukuru sana
haufuatilii music chid hajawahi kuwa na manager aje ?wenye busara wanaongea wakiwa na jambo la msingi
 
Ukute dogo aliomba mzigo kwa bidada nasra ...ukizingatia mwezi huu mgumu basi jamaa akaona ni bora arushe ngumi maana hamna namna sasa.
 
unajua huyu chalii ni dogo mwemzangu! namuonea sana huruma. bora amzalir baba/mama yake mtotp mapema maana najua bado mbichi hayo madawa yatamlegesha sana.Mungu linda watu wako..
 
unajua huyu chalii ni dogo mwemzangu! namuonea sana huruma. bora amzalir baba/mama yake mtotp mapema maana najua bado mbichi hayo madawa yatamlegesha sana.Mungu linda watu wako..
Mungu hawezi kumlinda mpuuzi kama huyu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…