Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ni mwenye huruma sana sidhan kama ataacha kumsamehe. wew makosa mangapi unafanya. yeye najua ni ujana unamchanganya na utandawazi i hope ataacha tuu.Mungu hawezi kumlinda mpuuzi kama huyu!!
kwa mitaa ya sinza mori atakuwa anakaa chumba na sebule au chumba kimoja..choo cha kushea..Weka picha ya ghorofa analokaa young D tulione.
Mbona kuna mdau hapo juu amesema jamaa ana ghorofa na land cruiser vx.kwa mitaa ya sinza mori atakuwa anakaa chumba na sebule au chumba kimoja..choo cha kushea..