Paka rapa, dogo anajua ila mambo mengi sana.Mi anavyochekaga vile doh! Kama anatekenywa
Anajua Sana, mi mwenyewe namkubali YoungDaddy sema sijui nini tatizo na yeyePaka rapa, dogo anajua ila mambo mengi sana.
ANASA NYINGIAnajua Sana, mi mwenyewe namkubali YoungDaddy sema sijui nini tatizo na yeye
Nampenda sana anajua na msafi yupo smart.....kicheko chake huwa kinanifurahishaga sanaHuyo kijana anajitahidi sana kuanzia ile nyimbo ya bongo bahati mbaya,,sasa hiv naona kaja kiutani utani. ,,video zake si haba najua kucheza na camera halaf ile cheza yake huku akirap duu so mwaaaa[emoji8] anafurahisha kiukweli ,,na sasa naona kazidi pendeza ati,,
Aendelee kutuburudisha tu na azidi kutoa ngoma kali zaidi na zaidi
Kina hamornize waige hili kwa Young D anajua jamani na tumsapot huyu kijana angekuwa Ulaya angekuwa tajiri
Angalieni hiyo ngoma kiutani utani you tube halaf mnipe mrejesho hapa
Pia ni handsome ,halaf anavyocheza sasa yaan huchoki angalia video zake,,,umeona alivyovaa fiesta kapendezaje,dogo yuko poa sema maruweruwe sasaNampenda sana anajua na msafi yupo smart.....kicheko chake huwa kinanifurahishaga sana
Na maruwe ruwe yake ndio yanampendeza bila kufanya vile Young D anakuwa hajatimia. Dully Seksi mwenyewe kwake salut alimsifiaga anasema anamuonekana wa kisanii na mtu akiiga hatomuwezaPia ni handsome ,halaf anavyocheza sasa yaan huchoki angalia video zake,,,umeona alivyovaa fiesta kapendezaje,dogo yuko poa sema maruweruwe sasa