Young D -kiutani utani

Young D -kiutani utani

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Huyo kijana anajitahidi sana kuanzia ile nyimbo ya bongo bahati mbaya,,sasa hiv naona kaja kiutani utani. ,,video zake si haba najua kucheza na camera halaf ile cheza yake huku akirap duu so mwaaaa[emoji8] anafurahisha kiukweli ,,na sasa naona kazidi pendeza ati,,
Aendelee kutuburudisha tu na azidi kutoa ngoma kali zaidi na zaidi
Kina hamornize waige hili kwa Young D anajua jamani na tumsapot huyu kijana angekuwa Ulaya angekuwa tajiri
Angalieni hiyo ngoma kiutani utani you tube halaf mnipe mrejesho hapa
 
Nampenda sana anajua na msafi yupo smart.....kicheko chake huwa kinanifurahishaga sana
 
Pia ni handsome ,halaf anavyocheza sasa yaan huchoki angalia video zake,,,umeona alivyovaa fiesta kapendezaje,dogo yuko poa sema maruweruwe sasa
 
Na maruwe ruwe yake ndio yanampendeza bila kufanya vile Young D anakuwa hajatimia. Dully Seksi mwenyewe kwake salut alimsifiaga anasema anamuonekana wa kisanii na mtu akiiga hatomuweza
 
Nilijua tu baada ya zile picha kuna kitu kinakuja Ndo tumefika huku
 
Nshajua umri wako, ni type ya tunda flani ivi, akikuomba hupindui.
 
sema beat ya UNAIONAJE ya young killer...

wimbo nimeupenda ila sa kuna mda unanitoa unanipeleka kune UNAIONAJE ya msodoki
 
Back
Top Bottom