Young D na Tunda wamefikia mwisho

Asa kama wote ni wanawake,unadhani kuna mapenz tena hapo?
 
kumbe we ni ke
 
Bora walivyoachana.

Aliyesema huyu Tunda sasa hv yupo na Nuh wameanzana lini?
Maana nijuavyo Nuh yupo na mtoto wa kimanga matata sana.

Walishamwagana tena??
 
Bora walivyoachana.

Aliyesema huyu Tunda sasa hv yupo na Nuh wameanzana lini?
Maana nijuavyo Nuh yupo na mtoto wa kimanga matata sana.

Walishamwagana tena??
njombe kuna wamanga?
 
Nimejaribu kupitia kurasa zao za instagram hawa ndugu zetu, naona kila mtu hana tena picha ya mwenzake au wakiwa wapo wote, vipi mapenzi yamefika mwisho au kuna nini?


Ivi hao wote si wanaume??
 
Hahahahaha. ....aisee kumbe ww ndo warumi?!....hah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…