Young D na Tunda wamefikia mwisho

Young D na Tunda wamefikia mwisho

Asa kama wote ni wanawake,unadhani kuna mapenz tena hapo?
 
Bikini kamvalishe mama ako ambaye hajavaa enzi za ujana wake, mi bikini hapa ndo nyumbani, sema unataka size gani nikuletee mbweha wewe...next time ukome kubishana na mama zako wa kambo, nitamwambia baba ako akufukuze hapo kwenu marioo mkubwa wewe mxieee
kumbe we ni ke
 
Bora walivyoachana.

Aliyesema huyu Tunda sasa hv yupo na Nuh wameanzana lini?
Maana nijuavyo Nuh yupo na mtoto wa kimanga matata sana.

Walishamwagana tena??
 
Bora walivyoachana.

Aliyesema huyu Tunda sasa hv yupo na Nuh wameanzana lini?
Maana nijuavyo Nuh yupo na mtoto wa kimanga matata sana.

Walishamwagana tena??
njombe kuna wamanga?
 
Attachments

  • 1458732246445.jpg
    1458732246445.jpg
    33 KB · Views: 143
  • 1458732257292.jpg
    1458732257292.jpg
    38.5 KB · Views: 136
Nimejaribu kupitia kurasa zao za instagram hawa ndugu zetu, naona kila mtu hana tena picha ya mwenzake au wakiwa wapo wote, vipi mapenzi yamefika mwisho au kuna nini?

Ivi hao wote si wanaume??
 
Bikini kamvalishe mama ako ambaye hajavaa enzi za ujana wake, mi bikini hapa ndo nyumbani, sema unataka size gani nikuletee mbweha wewe...next time ukome kubishana na mama zako wa kambo, nitamwambia baba ako akufukuze hapo kwenu marioo mkubwa wewe mxieee
Hahahahaha. ....aisee kumbe ww ndo warumi?!....hah
 
Back
Top Bottom