dokolombwike JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 373 Reaction score 616 Jul 5, 2016 #1 Kama siku tatu zilizopita nimesikia ujio mpya wa Young D. Kiukweli ni bonge la ngoma kwa mtazamo wangu lakini nashangaa haijawa habari ya mjini kama nilivyotegemea. Wajuzi wa mambo mkujeni hapa.
Kama siku tatu zilizopita nimesikia ujio mpya wa Young D. Kiukweli ni bonge la ngoma kwa mtazamo wangu lakini nashangaa haijawa habari ya mjini kama nilivyotegemea. Wajuzi wa mambo mkujeni hapa.
makilo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 2,620 Reaction score 5,260 Jul 5, 2016 #2 unashangaa kwa nini aijawa habar ya mjini? Wananchi wameshamzarau kutokana na matendo yake.
GRAPHIX MASTER Senior Member Joined May 22, 2015 Posts 165 Reaction score 87 Jul 5, 2016 #3 Ni habari ya kijijini huku shambani kwetu
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,965 Jul 5, 2016 #4 Ulikuwa unawasubiri wakina nani..... ili waifanye habari ya mjini kama si wewe ??
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,530 Reaction score 1,370 Jul 5, 2016 #5 Ata hivyo umemsaidai kuwa habari ya mjini...
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Jul 5, 2016 #6 Mwambie ajiunge na lebel ya Wasafi.