Young D noma kweli

Young D noma kweli

dokolombwike

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
373
Reaction score
616
Kama siku tatu zilizopita nimesikia ujio mpya wa Young D.

Kiukweli ni bonge la ngoma kwa mtazamo wangu lakini nashangaa haijawa habari ya mjini kama nilivyotegemea.

Wajuzi wa mambo mkujeni hapa.
 
unashangaa kwa nini aijawa habar ya mjini? Wananchi wameshamzarau kutokana na matendo yake.
 
Mwambie ajiunge na lebel ya Wasafi.
 
Back
Top Bottom