Young D: Sijakamatwa na polisi ila nilikuwa nashoot video ya wimbo wangu mpya

Young D: Sijakamatwa na polisi ila nilikuwa nashoot video ya wimbo wangu mpya

Pia young D aliongezea kuwa wameamua kushoot video hiyo kwa kutumia camera ya simu ili kuleta kitu cha tofauti kwenye tasnia ya muziki duniani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
 
Pia young D aliongezea kuwa wameamua kushoot video hiyo kwa kutumia camera ya simu ili kuleta kitu cha tofauti kwenye tasnia ya muziki duniani..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noma sana
 
!
!
Huwa wanakataa mno mno kuwa hawatumii ila muda utatuambia. Yaani kutumia madawa ni sawa nakupanda mnazi nyuma ya nyumba na kutegemea majirani wasijue. Utakuwa tu
 
Back
Top Bottom