samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Hapo alikuwa Original sio feki.dahhh...wema alikuwa mzuri banaaaa...dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo alikuwa Original sio feki.dahhh...wema alikuwa mzuri banaaaa...dah
Hapo alikuwa Original sio feki.
Ndio mkome kuvishobokea hvyo vsanii vyeu uchwaraKesho nampelekea pampas mama tamala, kama hatak kulea shilwadu tutamtunza, ila mtoto lazima awe mbea kama ss, ndo malipo
Sio ilipasuka?Hawa mademu nao wapunguze kujirahisi kwa hivi vianaume suruali eti kwa sababu ni celebrities. Shukuru Mungu kupata mtoto ila mara nyingine anaweza kuambatana na magonjwa make hiyo ni justification kwamba uliuza mechi.
Alijua akitoka na young Dee atatusua kumbe young Dee mwenyewe yahaya tuwadogo zangu nawashauri wapunguze kupapatikia wasanii..
mmekutana mwezi wa 3 huohuo washika mimba jaaaa....
funzo kwa yule binti na wengine wote..!
Ila young D bwege sana yaani anajijua msanii halafu anakataa mtoto then kabinti kazuri kale doohh!
maisha anayoishi yule binti aiseeehhh...na wale marafiki zake jamani jamani hapana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpuuzi ht na huyo dadaa!Alijua akitoka na young Dee atatusua kumbe young Dee mwenyewe yahaya tu
[emoji3] [emoji3] vigezo na masharti kuzingatiwa.Kesho nampelekea pampas mama tamala, kama hatak kulea shilwadu tutamtunza, ila mtoto lazima awe mbea kama ss, ndo malipo
Sio wote mkuuAlafu watoto wa kukataliwa wanapasuaga life.
wanajiuza wale sura zinaonyesha milupooNa wale wengne wanasema kazi zao ni usiku tu sasa ni kaz gan wanafanya usiku wale marafiki kams sio kujiuzaa
wadangaji wa mjini wote wale..yan chumba kimoja wako zaidi ya wanne. kazi wanayofanya haijulikani. sijui ndo mission town
Haa SHILAWADU WAPO Smart ,They are not men of sport sport,Nawaona Nawaona Wanavyokula tu UBUYU wa 2,500/=Yaani alijikamatisha pale alipo sema angepata mtoto wa kike angemwita nani ?si akaropoka jina ambalo alilompa mtoto aliemkataa inamaana alikili moyoni ni wake kwa tafsiri ya jina analolopenda kwa mtoto wake .nilicheka sana shilawaduu shilawaduuu nawaona mnakula tu ubuyu humu
SEPNGA HUYO DEMU?
Yaani Hawa watoto huwa sijui wakoje,yaani mtu mjamzito anaumwa anenda clinic halafu anakaa baada ya miezi miwili anatuma elfu 25,aisee Young D hana akili kutwa yupo na MILUPO kina TUNDA na AMBA LULU ambao nao ni wauza K.Young did kujifanya beieber pesa ya mstunzo anatuma rlfu 20,duh