Young Dee achana na Tunda kalee mtoto wako

Hawa mademu nao wapunguze kujirahisi kwa hivi vianaume suruali eti kwa sababu ni celebrities. Shukuru Mungu kupata mtoto ila mara nyingine anaweza kuambatana na magonjwa make hiyo ni justification kwamba uliuza mechi.
Sio ilipasuka?
 
Alijua akitoka na young Dee atatusua kumbe young Dee mwenyewe yahaya tu
 
Aisee huyu dogo alinichefua sana....matunzo hatoi bado anamkana mzazi mwenzie hadharani?? Kwa yale mazingira anayoishi Mamisa ni stress tosha afu eti aongezewe hiyo nyingine ya kukanwa....haya mambo yataathiri makuzi ya mtoto pia.....wanaume kama hao ndo utawakuta wanaponda single moms ila kugonga peku wanagonga na hawana ubavu wa kulea mxyiuuuuu.......
 
Haa SHILAWADU WAPO Smart ,They are not men of sport sport,Nawaona Nawaona Wanavyokula tu UBUYU wa 2,500/=
 
Young did kujifanya beieber pesa ya mstunzo anatuma rlfu 20,duh
Yaani Hawa watoto huwa sijui wakoje,yaani mtu mjamzito anaumwa anenda clinic halafu anakaa baada ya miezi miwili anatuma elfu 25,aisee Young D hana akili kutwa yupo na MILUPO kina TUNDA na AMBA LULU ambao nao ni wauza K.
 
Pole kwa binti, najua wakati anaopitia ni mgumu lkn naamini Mungu yuko pamoja nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…