Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa anatuomba radhi kwa lipi? kwani ametukosea sisi ameikosea nafsi yake? Kwani alikuwa ana umuhimu upi ambao tuliukosa kipindi anatumia madawa yake hayo?
Haya madawa yana addiction ukianza sio rahisi kuyaacha,
Nakumbuka jamaa aliweka ujumbe mkali baada ya kusikia Chid Benz anasaidiwa, now naona sababu ya jamaa kutoa ujumbe ule.
viongizi ndio drud dealers,,watumiaji wanakamatwaje??Sasa mbona hakamatwi ili akaonyeshe wapi alikuwa ananunua? Hii vita ya madawa ya kulevya ni ngumu sana.