Young Dee akiri kutumia dawa za kulevya, aomba radhi

Sasa kwa mfano mimi ananiomba Radhi kwa lipi? Kwani amenikosea nini ? Ama kawakosea nini watz?


Si katumia madawa kwa afya yake ....ajiombe radhi mwenyewe tuu


Hahaaaa...
 
Kama kaacha kweli, basi wamuhoji mbinu alizotumia ili wafaidike na wengine wanaojaribu kuacha.
 
Young D nani alikua anakuuzia powdered material?
 


Tatizo wasanii wakipata hela kidogo wanasahau walipotoka,wanaanza kuishi maisha ya kuigiza.
 
Young Daresalama,Paka rapa...
Hii sauti itakuwa adimu baadae kama ataendelea kuwa lili wayne(maana anapenda sana kumgeza huyu mtu)
YNWA
 
uyo kaishiwa tu hela ya kununua but ngoja aanze kupata vijisent atarudi kule kule alipoanzia, kwan chid nae c alisema hatumii but what next, mpka akapelekwa souber.
 
Awaombe msamaha wazazi wake,sisi hayatuhusu atumie asitumie shauri yake.
Kila mtu atabeba msalaba wake.
 
Haya madawa yana addiction ukianza sio rahisi kuyaacha,
Nakumbuka jamaa aliweka ujumbe mkali baada ya kusikia Chid Benz anasaidiwa, now naona sababu ya jamaa kutoa ujumbe ule.

Ujumbe gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…